Al-Hijr 15:4 وما اهلكنا من قرية الا ولها كتاب معلوم ٤
وَمَآ
أَهۡلَكۡنَا
مِن
قَرۡيَةٍ
إِلَّا
وَلَهَا
كِتَابٞ
مَّعۡلُومٞ
٤
Na hatukuuangamiza mji wowote ule ila ulikuwa na muda wake maalumu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wakiomba kuteremshiwa adhabu, kwa kukukanusha, ewe Mtume, basi sisi hatuuangamizi mji, isipokuwa uwapo wakati wa kuangamizwa umeshapangwa; hatutawaangamiza mpaka waufikie mfano wa wale waliowatangulia.
Na wakiomba kuteremshiwa adhabu, kwa kukukanusha, ewe Mtume, basi sisi hatuuangamizi mji, isipokuwa uwapo wakati wa kuangamizwa umeshapangwa; hatutawa…