Al-Hijr 15:45 ان المتقين في جنات وعيون ٤٥
إِنَّ
ٱلۡمُتَّقِينَ
فِي
جَنَّٰتٖ
وَعُيُونٍ
٤٥
Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na chemchem. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika wale waliomcha Mwenyezi Mungu, kwa kuyafuata Aliyoyaamrisha na kujiepusha na aliyoyakataza.watakuwa kwenye mabustani ya Pepo na mito ipitayo.