Al-Hijr 15:49 ۞ نبي عبادي اني انا الغفور الرحيم ٤٩
۞ نَبِّئۡ
عِبَادِيٓ
أَنِّيٓ
أَنَا
ٱلۡغَفُورُ
ٱلرَّحِيمُ
٤٩
Waambie waja wangu ya kwamba Mimi ndiye Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wapashe habari, ewe Mtume, waja wangu kwamba mimi ni mwenye kuwasamehe Waumini wenye kutubia, ni mwenye huruma kwao,