Al-Hijr 15:54 قال ابشرتموني على ان مسني الكبر فبم تبشرون ٥٤
قَالَ
أَبَشَّرۡتُمُونِي
عَلَىٰٓ
أَن
مَّسَّنِيَ
ٱلۡكِبَرُ
فَبِمَ
تُبَشِّرُونَ
٥٤
Akasema: Mnanibashiria nami uzee umenishika! Basi kwa njia gani mnanibashiria? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ibrāhīm akasema, huku yuwaona ajabu, «Mnanipa habari njema za kupata mwana na mimi nishakuwa mtu mzima, na mke wangu pia, ni kwa njia gani mnanipa habari njema hizo za kushangaza?»
Ibrāhīm akasema, huku yuwaona ajabu, «Mnanipa habari njema za kupata mwana na mimi nishakuwa mtu mzima, na mke wangu pia, ni kwa njia gani mnanipa hab…