Al-Hijr 15:55 قالوا بشرناك بالحق فلا تكن من القانطين ٥٥
قَالُواْ
بَشَّرۡنَٰكَ
بِٱلۡحَقِّ
فَلَا
تَكُن
مِّنَ
ٱلۡقَٰنِطِينَ
٥٥
Wakasema: Tunakubashiria kwa haki; basi usiwe miongoni mwa wanaokata tamaa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wakasema, «Tunakupa habari njema kwa kweli ambayo Mwenyezi Mungu Ametujulisha nayo. Basi usiwe miongoni mwa waliokata tamaa ya wewe kupata mwana.»