Al-Hijr 15:63 قالوا بل جيناك بما كانوا فيه يمترون ٦٣
قَالُواْ
بَلۡ
جِئۡنَٰكَ
بِمَا
كَانُواْ
فِيهِ
يَمۡتَرُونَ
٦٣
Wakasema: Bali sisi tumekuletea yale waliyo kuwa wakiyafanyia shaka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wakasema, «Usiogope. Kwani hakika yetu sisi tumekujilia na adhabu ambayo jamaa zako walikuwa na shaka nayo na hawakuwa wakiikubali kuwa ni kweli.