Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
015

Al-Hijr 15:64 واتيناك بالحق وانا لصادقون ٦٤

15:64
وَأَتَيۡنَٰكَ
بِٱلۡحَقِّ
وَإِنَّا
لَصَٰدِقُونَ
٦٤
Na tumefika kwako kwa Haki, na hakika sisi tunasema kweli. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Na tumekujia na haki kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na kwa hakika sisi ni wasema kweli.
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 15, Ukurasa 265, Juzuu 14

61. Basi wale wajumbe walipo fika kwa Luut'i, 62. Alisema (Luut'i): Hakika nyinyi ni watu msio juulikana. 63. Wakasema: Bali sisi tumekuletea yale waliyo kuwa wakiyafanyia shaka. 64. Na tumefika kwako kwa Haki, na hakika sisi tunasema kweli. 65. Basi ondoka na ahli zako usiku ungalipo, nawe ufuate nyuma yao,wala yeyote kati yenu asigeuke nyuma. Na mwende mnapo amrishwa. 66. Na tukamfunulia hukumu hiyo, ya kwamba hata wa mwisho wao hao ikifika asubuhi atakuwa kesha katiliwa mbali. 67. Na wakaja watu wa mji ule nao furahani. 68. Akasema: (Luut'i) Hakika hawa wageni wangu, basi msinifedheheshe. 69. Na mcheni Mwenyezi Mungu, wala msinihizi. 70. Wakasema: Sisi hatukukukataza usimkaribishe yeyote? 71. Akasema: Hawa binti zangu, ikiwa nyinyi ni watendaji. 72. Naapa kwa umri wako! Hakika hao walikuwa katika ulevi wao, wakihangaika ovyo. 73. Ukelele ukawatwaa wakipambaukiwa. 74. Na tukaigeuza nchi juu chini, na tukawanyeshea mvua ya mawe ya udongo wa Motoni. 75. Hakika katika hayo zipo ishara kwa waaguzi. 76. Na miji hii ipo kwenye njia inayo pitiwa. 77. Hakika katika hayo ipo ishara kwa Waumini. 78. Na Hakika watu wa kichakani, walikuwa wenye kudhulumu 79. Kwa hivyo tukawaadhibu. Na nchi mbili hizi ziko kwenye njia iliowazi.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia