Al-Hijr 15:69 واتقوا الله ولا تخزون ٦٩
وَٱتَّقُواْ
ٱللَّهَ
وَلَا
تُخۡزُونِ
٦٩
Na mcheni Mwenyezi Mungu, wala msinihizi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na yaogopeni mateso ya Mwenyezi Mungu, wala msiwasumbue mkaniingiza kwenye unyonge na madharau kwa kuwaudhi wageni wangu.»