Al-Hijr 15:72 لعمرك انهم لفي سكرتهم يعمهون ٧٢
لَعَمۡرُكَ
إِنَّهُمۡ
لَفِي
سَكۡرَتِهِمۡ
يَعۡمَهُونَ
٧٢
Naapa kwa umri wako! Hakika hao walikuwa katika ulevi wao, wakihangaika ovyo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Muumba Anaapa kwa Anayemtaka na kwa Anachokitaka. Ama muumbwa haifai kwake kuapa isipokuwa kwa jina la Mwenyezi mungu. Na Ameapa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka kwa uhai wa Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukiye, kwa kumtukuza kwa watu, kwamba watu wa Lūṭ wako kwenye sahau kali, wana shak…
Muumba Anaapa kwa Anayemtaka na kwa Anachokitaka. Ama muumbwa haifai kwake kuapa isipokuwa kwa jina la Mwenyezi mungu. Na Ameapa Mwenyezi Mungu Aliyet…