Al-Hijr 15:77 ان في ذالك لاية للمومنين ٧٧
إِنَّ
فِي
ذَٰلِكَ
لَأٓيَةٗ
لِّلۡمُؤۡمِنِينَ
٧٧
Hakika katika hayo ipo ishara kwa Waumini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwa hakika, katika kule kuwaangamiza kwetu pana ushahidi waziwazi kwa wenye kuamini na wenye kutenda matendo yanayoambatana na sheria za Mwenyezi Mungu.
Kwa hakika, katika kule kuwaangamiza kwetu pana ushahidi waziwazi kwa wenye kuamini na wenye kutenda matendo yanayoambatana na sheria za Mwenyezi Mung…