Al-Hijr 15:78 وان كان اصحاب الايكة لظالمين ٧٨
وَإِن
كَانَ
أَصۡحَٰبُ
ٱلۡأَيۡكَةِ
لَظَٰلِمِينَ
٧٨
Na Hakika watu wa kichakani, walikuwa wenye kudhulumu 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa hakika, wakazi wa mji uliozingirwa na miti, nao ni watu wa Shu'ayb, walikuwa ni wenye kuzidhulumu nafsi zao kwa kumkanusha Mwenyezi Mungu na Mtume wao mtukufu.
Na kwa hakika, wakazi wa mji uliozingirwa na miti, nao ni watu wa Shu'ayb, walikuwa ni wenye kuzidhulumu nafsi zao kwa kumkanusha Mwenyezi Mungu na Mt…