Al-Hijr 15:82 وكانوا ينحتون من الجبال بيوتا امنين ٨٢
وَكَانُواْ
يَنۡحِتُونَ
مِنَ
ٱلۡجِبَالِ
بُيُوتًا
ءَامِنِينَ
٨٢
Nao walikuwa wakichonga majumba katika milima kwa amani. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na walikuwa wakiyachonga majabali na wakifanya humo majumba, na huku wao wanajiaminisha kwamba hayatawaangukia na hayataharibika.