Al-Hijr 15:86 ان ربك هو الخلاق العليم ٨٦
إِنَّ
رَبَّكَ
هُوَ
ٱلۡخَلَّٰقُ
ٱلۡعَلِيمُ
٨٦
Hakika Mola wako Mlezi ndiye Muumbaji Mjuzi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika Mola wako Ndiye Muumba wa kila kitu, Ndiye Anayekijua, kwa hivyo hakuna kitu chochote kinachomshinda wala kufichika Kwake katika ardhi wala mbinguni.
Hakika Mola wako Ndiye Muumba wa kila kitu, Ndiye Anayekijua, kwa hivyo hakuna kitu chochote kinachomshinda wala kufichika Kwake katika ardhi wala mbi…