Al-Hijr 15:89 وقل اني انا النذير المبين ٨٩
وَقُلۡ
إِنِّيٓ
أَنَا
ٱلنَّذِيرُ
ٱلۡمُبِينُ
٨٩
Na sema: Hakika mimi ni mwonyaji mwenye kubainisha. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na sema, «Mimi ndiye muonyaji mwenye kuyafunua wazi yale ambayo watu wanaongokea kwayo kwenye kumuamini Mwenyezi Mungu Mola wa walimwengu.