Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Infitar 82:9

82:9
كلا بل تكذبون بالدين ٩
كَلَّا بَلْ تُكَذِّبُونَ بِٱلدِّينِ ٩
كـَلَّا
بَلۡ
تُكَذِّبُونَ
بِٱلدِّينِ
٩
Sivyo hivyo! Bali nyinyi mnaikanusha Siku ya Malipo. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Mambo hayako kama vile mnavyosema kwamba nyinyi mna haki ya kumuabudu asiyekuwa Mwenyezi Mungu. Bali nyinyi mnaikanusha Siku ya Hesabu na Malipo.