Al-Inshiqaq 84:10 واما من اوتي كتابه وراء ظهره ١٠
وَأَمَّا
مَنۡ
أُوتِيَ
كِتَٰبَهُۥ
وَرَآءَ
ظَهۡرِهِۦ
١٠
Na ama atakaye pewa daftari lake kwa nyuma ya mgongo wake, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na yule mwenye kupewa waraka wa amali zake kwa nyuma ya mgongo wake,