Al-Inshiqaq 84:16 فلا اقسم بالشفق ١٦
فَلَآ
أُقۡسِمُ
بِٱلشَّفَقِ
١٦
Basi ninaapa kwa wekundu wa jua linapo kuchwa, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu Ameapa kwa wekundu wa pambizo za mbingu wakati wa kutwa jua.