Al-Inshiqaq 84:23 والله اعلم بما يوعون ٢٣
وَٱللَّهُ
أَعۡلَمُ
بِمَا
يُوعُونَ
٢٣
Na Mwenyezi Mungu anajua wanayo yadhamiria. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi zaidi wa ukaidi wao wanaouficha kwenye nyoyo zao hali wao wanajua kuwa yale yaliyoletwa na Qur’ani ni kweli.