Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Jathiyah 45:10

45:10
من ورايهم جهنم ولا يغني عنهم ما كسبوا شييا ولا ما اتخذوا من دون الله اولياء ولهم عذاب عظيم ١٠
مِّن وَرَآئِهِمْ جَهَنَّمُ ۖ وَلَا يُغْنِى عَنْهُم مَّا كَسَبُوا۟ شَيْـًۭٔا وَلَا مَا ٱتَّخَذُوا۟ مِن دُونِ ٱللَّهِ أَوْلِيَآءَ ۖ وَلَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ ١٠
مِّن
وَرَآئِهِمۡ
جَهَنَّمُۖ
وَلَا
يُغۡنِي
عَنۡهُم
مَّا
كَسَبُواْ
شَيۡـٔٗا
وَلَا
مَا
ٱتَّخَذُواْ
مِن
دُونِ
ٱللَّهِ
أَوۡلِيَآءَۖ
وَلَهُمۡ
عَذَابٌ
عَظِيمٌ
١٠
Na nyuma yao ipo Jahannamu. Na walio yachuma hayatawafaa hata kidogo, wala walinzi walio washika badala ya Mwenyezi Mungu. Na watapata adhabu kubwa. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Basi mbele ya hao wenye kuzifanyia shere aya za Mwenyezi Mungu patakuwa na moto wa Jahanamu. Na hakitawafalia wao kitu chochote kile walichokichuma cha mali na wana wala waungu wao waliowaabudu badala ya Mwenyezi Mungu. Na watakuwa na adhabu kubwa yenye uchungu.