Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Jinn 72:5

72:5
وانا ظننا ان لن تقول الانس والجن على الله كذبا ٥
وَأَنَّا ظَنَنَّآ أَن لَّن تَقُولَ ٱلْإِنسُ وَٱلْجِنُّ عَلَى ٱللَّهِ كَذِبًۭا ٥
وَأَنَّا
ظَنَنَّآ
أَن
لَّن
تَقُولَ
ٱلۡإِنسُ
وَٱلۡجِنُّ
عَلَى
ٱللَّهِ
كَذِبٗا
٥
Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
«Na kwamba sisi tulidhani kuwa hakuna yoyote atakayemzulia Mwenyezi Mungu Aliyetukuka urongo, si katika binadamu na si katika majini, wa kumnasibishia Yeye mke na mtoto.