Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Kahf 18:12

18:12
ثم بعثناهم لنعلم اي الحزبين احصى لما لبثوا امدا ١٢
ثُمَّ بَعَثْنَـٰهُمْ لِنَعْلَمَ أَىُّ ٱلْحِزْبَيْنِ أَحْصَىٰ لِمَا لَبِثُوٓا۟ أَمَدًۭا ١٢
ثُمَّ
بَعَثۡنَٰهُمۡ
لِنَعۡلَمَ
أَيُّ
ٱلۡحِزۡبَيۡنِ
أَحۡصَىٰ
لِمَا
لَبِثُوٓاْ
أَمَدٗا
١٢
Kisha tukawazindua ili tujue ni lipi katika makundi mawili lilio hisabu sawa muda walio kaa. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Kisha tukawaamsha kutoka kwenye usingizi wao ili tuwaonyeshe watu tuliyoyajua hapo kale ipate kupambanuka ni lipi kati ya makundi mawili, yanayobishana juu ya kipindi cha kukaa kwao, limedhibiti zaidi katika kuhesabu: je, walikaa siku moja au mbili au walikaa muda mrefu?.