Al-Kahf 18:14 وربطنا على قلوبهم اذ قاموا فقالوا ربنا رب السماوات والارض لن ندعو من دونه الاها لقد قلنا اذا شططا ١٤
وَرَبَطۡنَا
عَلَىٰ
قُلُوبِهِمۡ
إِذۡ
قَامُواْ
فَقَالُواْ
رَبُّنَا
رَبُّ
ٱلسَّمَٰوَٰتِ
وَٱلۡأَرۡضِ
لَن
نَّدۡعُوَاْ
مِن
دُونِهِۦٓ
إِلَٰهٗاۖ
لَّقَدۡ
قُلۡنَآ
إِذٗا
شَطَطًا
١٤
Na tukazitia nguvu nyoyo zao walipo simama na wakasema: Mola wetu Mlezi ni Mola Mlezi wa mbingu na ardhi. Hatutamwita mwenginewe kabisa badala yake kuwa ni Mungu. Hivyo itakuwa tumesema jambo la kuvuka mpaka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tukazipa nguvu nyoyo zao kwa Imani na tukazikaza nia zao kwa hiyo Imani, waliposimama mbele ya mfalme kafiri, huku naye akiwalaumu kwa kuacha ibada ya masanamu, na wakamwambia, «Mola wetu tunayemuabudu ni Mola wa mbingu na ardhi, hatutaabudu waungu wengine, na tukisema lingine lisilokuwa hili tut…
Na tukazipa nguvu nyoyo zao kwa Imani na tukazikaza nia zao kwa hiyo Imani, waliposimama mbele ya mfalme kafiri, huku naye akiwalaumu kwa kuacha ibada…