Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Kahf 18:64

18:64
قال ذالك ما كنا نبغ فارتدا على اثارهما قصصا ٦٤
قَالَ ذَٰلِكَ مَا كُنَّا نَبْغِ ۚ فَٱرْتَدَّا عَلَىٰٓ ءَاثَارِهِمَا قَصَصًۭا ٦٤
قَالَ
ذَٰلِكَ
مَا
كُنَّا
نَبۡغِۚ
فَٱرۡتَدَّا
عَلَىٰٓ
ءَاثَارِهِمَا
قَصَصٗا
٦٤
(Musa) akasema: Hayo ndiyo tuliyo kuwa tunayataka. Basi wakarudi nyuma kwa kufuata njia waliyo jia. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Mūsā akasema, «Yaliyotokea ndiyo ambayo tulikuwa tukiyataka, kwani hiyo ni alama yangu ya mahali pa mja mwema.» Hapo wakarudi wakizifuata alama za nyayo zao mpaka wakakoma kwenye jiwe.