Al-Kahf 18:66 قال له موسى هل اتبعك على ان تعلمن مما علمت رشدا ٦٦
قَالَ
لَهُۥ
مُوسَىٰ
هَلۡ
أَتَّبِعُكَ
عَلَىٰٓ
أَن
تُعَلِّمَنِ
مِمَّا
عُلِّمۡتَ
رُشۡدٗا
٦٦
Musa akamwambia: Nikufuate ili unifunze katika ule uwongofu ulio funzwa wewe? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mūsā akamsalimia na akamwambia, «Je, utaniruhusu nikufuate, unifundishe elimu ambayo Mwenyezi Mungu Amekufudisha kadiri ya mimi kujiongoza nayo na kunufaika?
Mūsā akamsalimia na akamwambia, «Je, utaniruhusu nikufuate, unifundishe elimu ambayo Mwenyezi Mungu Amekufudisha kadiri ya mimi kujiongoza nayo na kun…