Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Kahf 18:72

18:72
قال الم اقل انك لن تستطيع معي صبرا ٧٢
قَالَ أَلَمْ أَقُلْ إِنَّكَ لَن تَسْتَطِيعَ مَعِىَ صَبْرًۭا ٧٢
قَالَ
أَلَمۡ
أَقُلۡ
إِنَّكَ
لَن
تَسۡتَطِيعَ
مَعِيَ
صَبۡرٗا
٧٢
Akasema: Sikukwambia hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami? 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Al-Khiḍr akamwambia, «Nilisema tangu mwanzo, ‘Hakika wewe hutoweza kuvumilia kuandamana na mimi.’»