Al-Kahf 18:73 قال لا تواخذني بما نسيت ولا ترهقني من امري عسرا ٧٣
قَالَ
لَا
تُؤَاخِذۡنِي
بِمَا
نَسِيتُ
وَلَا
تُرۡهِقۡنِي
مِنۡ
أَمۡرِي
عُسۡرٗا
٧٣
(Musa) akasema: Usinichukulie kwa niliyo sahau, wala usinipe uzito kwa jambo langu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mūsā akasema akitoa udhuru, «usinichukulie kwa kusahau sharti yako juu yangu wala usinikalifishe mashaka ya kujifunza kwako, na amiliana na mimi kwa usahali na upole.»
Mūsā akasema akitoa udhuru, «usinichukulie kwa kusahau sharti yako juu yangu wala usinikalifishe mashaka ya kujifunza kwako, na amiliana na mimi kwa u…