Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Kahf 18:84

18:84
انا مكنا له في الارض واتيناه من كل شيء سببا ٨٤
إِنَّا مَكَّنَّا لَهُۥ فِى ٱلْأَرْضِ وَءَاتَيْنَـٰهُ مِن كُلِّ شَىْءٍۢ سَبَبًۭا ٨٤
إِنَّا
مَكَّنَّا
لَهُۥ
فِي
ٱلۡأَرۡضِ
وَءَاتَيۡنَٰهُ
مِن
كُلِّ
شَيۡءٖ
سَبَبٗا
٨٤
Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Sisi tulimpa udhibiti katika ardhi na tukampa sababu na njia za kila kitu za kufikia ayatakayo ya kukomboa miji nakuwashinda maadui na yasiyokuwa hayo.