Al-Layl 92:8 واما من بخل واستغنى ٨
وَأَمَّا
مَنۢ
بَخِلَ
وَٱسۡتَغۡنَىٰ
٨
Na ama mwenye kufanya ubakhili, na asiwe na haja ya wenzake! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na ama mwenye kuyafanyia ubakhili mali yake, asiwe na haja ya malipo ya Mola wake,