Al-Ma'arij 70:1 سال سايل بعذاب واقع ١
سَأَلَ
سَآئِلُۢ
بِعَذَابٖ
وَاقِعٖ
١
Muulizaji aliuliza juu ya adhabu itakayo tokea! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ameapiza mwenye kuapiza miongoni mwa washirikina, kujiapiza mwenyewe na kuwaapiza watu wake kuteremkiwa na adhabu,