Al-Ma'arij 70:16 نزاعة للشوى ١٦
نَزَّاعَةٗ
لِّلشَّوَىٰ
١٦
Unao babua ngozi ya kichwa! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Huo ni moto wa Jahanamu, moto wake unawaka na kuroroma, joto lake linatoa kwa nguvu ngozi ya kichwa na sehemu nyingine za mwili,