Al-Ma'arij 70:24 والذين في اموالهم حق معلوم ٢٤
وَٱلَّذِينَ
فِيٓ
أَمۡوَٰلِهِمۡ
حَقّٞ
مَّعۡلُومٞ
٢٤
Na ambao katika mali yao iko haki maalumu 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wale ambao katika mali yao kuna fungu maalumu alililowafaradhia Mwenyezi Mungu, nalo ni Zaka