Al-Ma'arij 70:35 اولايك في جنات مكرمون ٣٥
أُوْلَٰٓئِكَ
فِي
جَنَّٰتٖ
مُّكۡرَمُونَ
٣٥
Hao ndio watakao hishimiwa Peponi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hao waliosifika kwa sifa hizo njema, ni wenye kutulia kwenye mabustani ya Pepo ya starehe, ni wenye kukirimiwa humo kwa kila aina ya takrima.