Al-Ma'arij 70:37 عن اليمين وعن الشمال عزين ٣٧
عَنِ
ٱلۡيَمِينِ
وَعَنِ
ٱلشِّمَالِ
عِزِينَ
٣٧
Makundi kwa makundi upande wa kulia na upande wa kushoto! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
wanajikusanya kuliani kwako na kushotoni kwako, wakiwa wamekaa kwa kupiga maduara na wamejigawa vikundi mbalimbali, wanazungumza na kuona ajabu?