Al-Maidah 5:65 ولو ان اهل الكتاب امنوا واتقوا لكفرنا عنهم سيياتهم ولادخلناهم جنات النعيم ٦٥
وَلَوۡ
أَنَّ
أَهۡلَ
ٱلۡكِتَٰبِ
ءَامَنُواْ
وَٱتَّقَوۡاْ
لَكَفَّرۡنَا
عَنۡهُمۡ
سَيِّـَٔاتِهِمۡ
وَلَأَدۡخَلۡنَٰهُمۡ
جَنَّٰتِ
ٱلنَّعِيمِ
٦٥
Na lau kuwa Watu wa Kitabu wangeli amini na wakachamungu hapana shaka tungeli wafutia makosa yao, na tungeli waingiza katika Bustani zenye neema. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Lau kama Mayahudi na Wanaswara wangalimuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, wakazifuata amri Zake na kuyaepuka makatazo Yake, tungaliwafutia madhambi yao na tungaliwatia kwenye mabustani ya Pepo ya starehe katika Nyumba ya Akhera.
Lau kama Mayahudi na Wanaswara wangalimuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, wakazifuata amri Zake na kuyaepuka makatazo Yake, tungaliwafutia madhambi …