Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
074

Al-Muddaththir 74:39 الا اصحاب اليمين ٣٩

74:39
إِلَّآ
أَصۡحَٰبَ
ٱلۡيَمِينِ
٣٩
Isipo kuwa watu wa kuliani.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Isipokuwa Waislamu waliotakaswa, watu wa upande wa kulia waliojikomboa shingo zao kwa utiifu.
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 74, Ukurasa 576, Juzuu 29

32. Hasha! Naapa kwa mwezi! 33. Na kwa usiku unapo kucha! 34. Na kwa asubuhi inapo pambazuka! 35. Hakika huo Moto ni katika mambo yaliyo makubwa kabisa! 36. Ni onyo kwa binaadamu, 37. Kwa anaye taka miongoni mwenu kutangulia au kuchelewa. 38. Kila nafsi imo rahanini kwa mabaya iliyo yachuma. 39. Isipo kuwa watu wa kuliani. 40. Hao watakuwa katika Mabustani, wawe wanaulizana 41. Khabari za wakosefu: 42. Ni nini kilicho kupelekeni Motoni? 43. Waseme: Hatukuwa miongoni walio kuwa wakiswali. 44. Wala hatukuwa tukiwalisha masikini. 45. Na tulikuwa tukizama pamoja na walio zama katika maovu. 46. Na tulikuwa tukiikanusha siku ya malipo. 47. Mpaka yakini ilipo tufikia. 48. Basi hautawafaa kitu uombezi wa waombezi.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia