Al-Muddaththir 74:48 فما تنفعهم شفاعة الشافعين ٤٨
فَمَا
تَنفَعُهُمۡ
شَفَٰعَةُ
ٱلشَّٰفِعِينَ
٤٨
Basi hautawafaa kitu uombezi wa waombezi.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi hayatawafalia neno maombezi ya wenye kuombea wote, miongoni mwa Malaika, Manabii na wengineo, kwa kuwa aombewaye ni yule aliyechaguliwa na Mwenyezi Mungu na akamuidhinisha mwenye kumuombea.
Basi hayatawafalia neno maombezi ya wenye kuombea wote, miongoni mwa Malaika, Manabii na wengineo, kwa kuwa aombewaye ni yule aliyechaguliwa na Mwenye…