Al-Muddaththir 74:52 بل يريد كل امري منهم ان يوتى صحفا منشرة ٥٢
بَلۡ
يُرِيدُ
كُلُّ
ٱمۡرِيٕٖ
مِّنۡهُمۡ
أَن
يُؤۡتَىٰ
صُحُفٗا
مُّنَشَّرَةٗ
٥٢
Ati kila mmoja katika wao anataka apewe nyaraka zilizo funuliwa.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Lakini kila mmoja, miongoni mwa hawa washirikina, ana matumaini ateremshiwe kitabu kutoka mbinguni kilichokunjuliwa kama kile kilichoteremshiwa Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie.
Lakini kila mmoja, miongoni mwa hawa washirikina, ana matumaini ateremshiwe kitabu kutoka mbinguni kilichokunjuliwa kama kile kilichoteremshiwa Muhamm…