Al-Mursalat 77:17 ثم نتبعهم الاخرين ١٧
ثُمَّ
نُتۡبِعُهُمُ
ٱلۡأٓخِرِينَ
١٧
Kisha tukawafuatilizia walio fuatia? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kisha tutawakutanisha na wao wale waliokuja nyuma kati ya wale waliokuwa ni kama wao katika ukanushaji na uasi.