Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
77:18
كذالك نفعل بالمجرمين ١٨
كَذَٰلِكَ نَفْعَلُ بِٱلْمُجْرِمِينَ ١٨
كَذَٰلِكَ
نَفۡعَلُ
بِٱلۡمُجۡرِمِينَ
١٨
Ndio kama hivi tuwatendavyo wakosefu! 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadithi
Mfano wa uangamizaji huo mkali ndivyo tutakavyowafanya wahalifu kati ya makafiri wa Makkah, kwa kumkanusha kwao Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie.