Al-Mursalat 77:41 ان المتقين في ظلال وعيون ٤١
إِنَّ
ٱلۡمُتَّقِينَ
فِي
ظِلَٰلٖ
وَعُيُونٖ
٤١
Hakika wachamngu watakuwa katika vivuli na chemchem, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika ya wale waliomuogopa Mola wao duniani na wakaiogopa adhabu Yake kwa kufuata amri Zake na kujiepusha na makatazo Yake. Wao Siku ya Kiyama watakuwa kwenye vivuli vya miti vilivyonyoka, na chemchemi za maji zinazotembea,
Hakika ya wale waliomuogopa Mola wao duniani na wakaiogopa adhabu Yake kwa kufuata amri Zake na kujiepusha na makatazo Yake. Wao Siku ya Kiyama wataku…