Al-Mursalat 77:46 كلوا وتمتعوا قليلا انكم مجرمون ٤٦
كُلُواْ
وَتَمَتَّعُواْ
قَلِيلًا
إِنَّكُم
مُّجۡرِمُونَ
٤٦
Kuleni na mjifurahishe kidogo tu. Hakika nyinyi ni wakosefu! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kisha Mwenyezi Mungu Akawaonya makafiri kwa kusema, «Kuleni aina ya vyakula vya ladha duniani na stareheni kwa matamanio yake yenye kumalizika kwa muda mchache, hakika nyinyi ni wahalifu kwa kumshirikisha kwenu Mwenyezi Mungu.»
Kisha Mwenyezi Mungu Akawaonya makafiri kwa kusema, «Kuleni aina ya vyakula vya ladha duniani na stareheni kwa matamanio yake yenye kumalizika kwa mud…