Al-Mutaffifyn 83:23 على الارايك ينظرون ٢٣
عَلَى
ٱلۡأَرَآئِكِ
يَنظُرُونَ
٢٣
Wakae juu ya viti vya enzi wakiangalia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
juu ya viti vya fahari wanamwangalia Mola wao na wanaangalia yale waliyoandaliwa miongoni mwa kheri nyingi.