Al-Muumin 40:70 الذين كذبوا بالكتاب وبما ارسلنا به رسلنا فسوف يعلمون ٧٠
ٱلَّذِينَ
كَذَّبُواْ
بِٱلۡكِتَٰبِ
وَبِمَآ
أَرۡسَلۡنَا
بِهِۦ
رُسُلَنَاۖ
فَسَوۡفَ
يَعۡلَمُونَ
٧٠
Ambao wamekanusha Kitabu na yale tuliyo watuma Mitume wetu. Basi watakuja jua.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Washirikina hawa waliokanusha Qur’ani na Vitabu vya mbinguni Alivyoviteremsha Mwenyezi Mungu kwa Mitume Wake ili kuongoza watu, watajua wakanushaji hawa mwisho wa ukanushaji wao.
Washirikina hawa waliokanusha Qur’ani na Vitabu vya mbinguni Alivyoviteremsha Mwenyezi Mungu kwa Mitume Wake ili kuongoza watu, watajua wakanushaji ha…