Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Muuminun 23:11

23:11
الذين يرثون الفردوس هم فيها خالدون ١١
ٱلَّذِينَ يَرِثُونَ ٱلْفِرْدَوْسَ هُمْ فِيهَا خَـٰلِدُونَ ١١
ٱلَّذِينَ
يَرِثُونَ
ٱلۡفِرۡدَوۡسَ
هُمۡ
فِيهَا
خَٰلِدُونَ
١١
Ambao watairithi Pepo ya Firdausi, wadumu humo. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Ambao watairithi Pepo ya juu kabisa na ya kati na kati, nayo ndiyo yenye mashukio bora zaidi kuliko zote, wao humo watakaa milele, neema zao hazitakatika wala hazitaondoka.