Al-Muuminun 23:114 قال ان لبثتم الا قليلا لو انكم كنتم تعلمون ١١٤
قَٰلَ
إِن
لَّبِثۡتُمۡ
إِلَّا
قَلِيلٗاۖ
لَّوۡ
أَنَّكُمۡ
كُنتُمۡ
تَعۡلَمُونَ
١١٤
Atasema: Nyinyi hamkukaa huko duniani ila kidogo, laiti ingeli kuwa mnajua. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapo Atawaambia «Hamkuketi isipokuwa kipindi kichache, na lau mlivumilia juu ya kumtii Mwenyezi Mungu mungalifaulu kuipata Pepo, kama mungalikuwa na ujuzi wa hilo.» Hivyo ni kwamba kipindi cha kukaa kwao duniani ni kichache sana kulingana na kipindi cha kukaa kwao Motoni milele.
Hapo Atawaambia «Hamkuketi isipokuwa kipindi kichache, na lau mlivumilia juu ya kumtii Mwenyezi Mungu mungalifaulu kuipata Pepo, kama mungalikuwa na u…