Al-Muuminun 23:12 ولقد خلقنا الانسان من سلالة من طين ١٢
وَلَقَدۡ
خَلَقۡنَا
ٱلۡإِنسَٰنَ
مِن
سُلَٰلَةٖ
مِّن
طِينٖ
١٢
Na kwa yakini tumemuumba mtu kutokana na asli ya udongo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa hakika tulimuumba Ādam kutokana na udongo uliochukuliwa kutoka ardhi yote.