Al-Muuminun 23:20 وشجرة تخرج من طور سيناء تنبت بالدهن وصبغ للاكلين ٢٠
وَشَجَرَةٗ
تَخۡرُجُ
مِن
طُورِ
سَيۡنَآءَ
تَنۢبُتُ
بِٱلدُّهۡنِ
وَصِبۡغٖ
لِّلۡأٓكِلِينَ
٢٠
Na mti utokao katika mlima wa Sinai, unatoa mafuta na kuwa kitoweo kwa walao. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tukawatolea nyinyi kwa maji hayo mizaituni ambayo inatoka kandokando ya jabali la Tūr Ṣīnā’ ambao unakamuliwa mafuta ya kujipaka na kutumia kwa chakula.
Na tukawatolea nyinyi kwa maji hayo mizaituni ambayo inatoka kandokando ya jabali la Tūr Ṣīnā’ ambao unakamuliwa mafuta ya kujipaka na kutumia kwa cha…