Al-Muuminun 23:28 فاذا استويت انت ومن معك على الفلك فقل الحمد لله الذي نجانا من القوم الظالمين ٢٨
فَإِذَا
ٱسۡتَوَيۡتَ
أَنتَ
وَمَن
مَّعَكَ
عَلَى
ٱلۡفُلۡكِ
فَقُلِ
ٱلۡحَمۡدُ
لِلَّهِ
ٱلَّذِي
نَجَّىٰنَا
مِنَ
ٱلۡقَوۡمِ
ٱلظَّٰلِمِينَ
٢٨
Basi utakapo tulia wewe na walio pamoja nawe humo marikebuni, sema: Alhamdulillahi Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu, aliye tuokoa na watu madhaalimu! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
‘’Basi ukiwa juu ya jahazi na ukatulia humo wewe na walio pamoja na wewe, mukiwa mumesalimika na kuzama, sema, ‘Shukrani zote ni za Mwenyezi Mungu Aliyetuokoa na watu makafiri.’»
‘’Basi ukiwa juu ya jahazi na ukatulia humo wewe na walio pamoja na wewe, mukiwa mumesalimika na kuzama, sema, ‘Shukrani zote ni za Mwenyezi Mungu Ali…