Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Muuminun 23:33

23:33
وقال الملا من قومه الذين كفروا وكذبوا بلقاء الاخرة واترفناهم في الحياة الدنيا ما هاذا الا بشر مثلكم ياكل مما تاكلون منه ويشرب مما تشربون ٣٣
وَقَالَ ٱلْمَلَأُ مِن قَوْمِهِ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ وَكَذَّبُوا۟ بِلِقَآءِ ٱلْـَٔاخِرَةِ وَأَتْرَفْنَـٰهُمْ فِى ٱلْحَيَوٰةِ ٱلدُّنْيَا مَا هَـٰذَآ إِلَّا بَشَرٌۭ مِّثْلُكُمْ يَأْكُلُ مِمَّا تَأْكُلُونَ مِنْهُ وَيَشْرَبُ مِمَّا تَشْرَبُونَ ٣٣
وَقَالَ
ٱلۡمَلَأُ
مِن
قَوۡمِهِ
ٱلَّذِينَ
كَفَرُواْ
وَكَذَّبُواْ
بِلِقَآءِ
ٱلۡأٓخِرَةِ
وَأَتۡرَفۡنَٰهُمۡ
فِي
ٱلۡحَيَوٰةِ
ٱلدُّنۡيَا
مَا
هَٰذَآ
إِلَّا
بَشَرٞ
مِّثۡلُكُمۡ
يَأۡكُلُ
مِمَّا
تَأۡكُلُونَ
مِنۡهُ
وَيَشۡرَبُ
مِمَّا
تَشۡرَبُونَ
٣٣
Na wakubwa katika watu wake walioukufuru, na wakakanusha mkutano wa Akhera, na tukawadekeza kwa starehe, katika maisha ya dunia, walisem: Huyu si chochote ila ni mwanadamu kama nyinyi, anakula mlacho, na anakunywa mnywacho. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Watukufu na viongozi waliomkufuru Mwenyezi Mungu miongoni mwa watu wake na waliokataa kuwa kuna maisha ya Akhera na zikawafanya wakiuke mipaka zile neema walizoneemeshwa ulimwenguni za maisha ya anasa za kupindukia, «Huyu anayewaita mumpwekeshe Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, si lolote isipokuwa ni mwanadamu kama nyinyi, anakula chakula cha aina mnachokula nyinyi, na anakunywa aina ya kinywaji mnachokunywa.