Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Muuminun 23:40

23:40
قال عما قليل ليصبحن نادمين ٤٠
قَالَ عَمَّا قَلِيلٍۢ لَّيُصْبِحُنَّ نَـٰدِمِينَ ٤٠
قَالَ
عَمَّا
قَلِيلٖ
لَّيُصۡبِحُنَّ
نَٰدِمِينَ
٤٠
(Mwenyezi Mungu) akasema: Baada ya muda mchache watakuwa wenye kujuta. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Mwenyezi Mungu Akasema Akiyakubali maombi yake, «Kwa muda mchache watakuwa ni wenye kujuta.» Yaani, baada ya kipindi cha muda mchache watakuwa na majuto hao wakanushaji.»